Powered by Blogger.

zari shouts my baby girl will be more than beautifull


Tokeo la picha la picha za zari
diamond platnumz and his x girlfriend zari the boss lady

at yesterday night zari was shouts about her comming baby girl after speading news of what will be the looks of her baby since his father is not more atractive due to the looks of some parts of his body

saamhani sana naona mna complain sana juu ya muonekano wa my comming baby 
sorry kwa kuwa mi ni mrembo na mwanangu atakuwa mrembo zaidi
haijarishibaba yake ana muonekano gani
acheni umbeya.
hayo ni baadhi ya maneno ambayo zari aliyatamka wakati alipo hojiwa na shushushu wetu
je kwa muonekano wa baba kijacho diamond platnum 
mtoto wake atakuwaje?
acha maoni yako hapo chini.

Taliban attack Afghan parliament

Afghan security personnel and bystanders look
KABUL
Taliban militants launched an assault on the Afghan parliament on Monday, triggering gunfire and explosions and sending lawmakers scurrying for cover in chaotic scenes relayed live on television.
The attack came as the Afghan president's nominee for the crucial post of defence minister was to be introduced in parliament and ended two hours later when all seven attackers, including a suicide car bomber, were dead.
The assault on such a high-profile target in downtown Kabul raises fresh questions about security as Afghan forces battle a resurgent Taliban for the first time without the aid of NATO forces, who ended their ombat mission in December.
"First a car bomb detonated on the main road near the parliament building, then a group of attackers entered a building in front of parliament," Kabul police spokesman Ebadullah Karimi told AFP.
Deputy interior ministry spokesman Najib Danish said there were seven attackers.
Around 15 civilians were wounded in the initial explosion, he said.
The attackers also fired rocket-propelled grenades at the parliament, causing minor damage, he said.
DESCRIBED ATTACK
MP Mohammad Reza Khoshak, who was in the chamber at the time, described the moment the first blast struck.
"The session was on and we were waiting for the defence minister nominee.
“Suddenly we heard a loud explosion, followed by several other smaller explosions," he told AFP.
"In a few seconds the hall was filled with smoke and MPs began fleeing the building."
The Taliban launched a countrywide offensive in late April, stepping up attacks on government and foreign targets in what is expected to be the bloodiest fighting season in a decade.
The militants recently rebuffed requests from senior Afghan clerics to halt attacks during the fasting month of Ramadan even as a surge in violence has sent civilian casualties soaring.
A group of suicide attackers last tried to storm parliament in 2012 as they launched coordinated attacks in several parts of the capital, including several diplomatic enclaves.
SURGING ATTACKS
The Taliban, toppled from power in the 2001 US invasion of Afghanistan, swiftly claimed responsibility for the latest attack.
"Several mujahedeen have entered the parliament building," Taliban spokesman Zabihullah Mujahid posted on Twitter.
"The attack happened at a time when the defence minister was being introduced."
Police denied that Taliban fighters had breached the high-security complex.
The surge in insurgent attacks has taken a heavy toll on ordinary Afghans, according to the UN mission in Afghanistan.
Almost 1,000 civilians were killed during the first four months of this year, a sharp jump from the same period last year, it said.
TALKS WITH TALIBAN
Afghan authorities have repeatedly tried to jumpstart talks with the Taliban in the hope of ending the 13-year conflict, but the militants have set tough conditions, including the withdrawal of all foreign troops in Afghanistan.
NATO's combat mission formally ended in December but a small follow-up foreign force of about 12,500 mainly US troops has stayed on to train and support local security personnel
President Ashraf Ghani's government has drawn criticism for failing to end growing insurgent attacks, which critics partly blame on political infighting and a lengthy delay in appointing a defence minister.
Ghani last month nominated Mohammad Masoom Stanekzai, a top official in the government body overseeing the country's peace process, for the job.
The post had been left vacant for months due to disagreements between Ghani and his chief executive and former presidential election rival, Abdullah Abdullah, but Stanekzai is expected to be confirmed by Afghanistan's parliament soon

TAYLOR SWIFT : Ambwaga Jay Z kwa mkwanja

Swift, lakini katika kujiingizia fedha nyingi, Swift amempiga bao Jay Z.
Kwa mwaka 2014 kwa mujibu wa Jarida la Forbes, pato la Swift katika muziki lilifikia Dola 64 milioni na ameshika nafasi ya 11 miongoni mwa wanamuziki 30 waliojiingizia fedha nyingi kwa mwaka huo wakati, Jay Z ni wa 12 akiwa na pato lililofikia Dola 60 milioni.
Jina lake kamili ni Taylor Alison Swift na alizaliwa, Desemba 13, 1989, Pennsylvania, Marekani na hadi sasa ni mwanamuziki anayetamba katika miondoko ya country na pop.
Nyota ya Swift katika muziki ilianza kuonekana akiwa na miaka tisa, alipenda kufanya maonyesho ya muziki katika matamasha ya watoto.
Baadaye alionekana kuvutiwa na makali ya mwanamuziki, Shania Twain, alishiriki mashindano ya muziki ya vijana wadogo mara kadhaa na kushindwa lakini hakukata tamaa. Alidiriki kutumia siku zake za mapumziko ya mwisho wa wiki kwa kufanya maonyesho.
Akiwa na miaka 12 alianza kufundishwa namna ya kupiga gitaa jambo ambalo pia linadaiwa kumhamasisha kuanza kutunga nyimbo na wimbo wake wa kwanza kuutunga ulikuwa ni ‘Lucky You.’
Nje ya mafanikio hayo, Swift pia anakumbukwa hapo kabla alipoibuka kinara na kutwaa tuzo ya uimbaji mashairi kwa shairi lililoitwa, “Monster in My Closet,”.
Mwanamuziki Taylor Swift 
HAYUMO katika orodha ya wanamuziki 10 bora waliotengeneza fedha nyingi kwa mwaka 2014, lakini ukweli kwamba amemfunika Jay-Z katika orodha hiyo, ni jambo la kujivunia kwa Taylor Swift.
Kwa mashabiki wengi wa muziki, Jay Z ni jina kubwa na ndiye anayefahamika kuliko 
Njia hizo alizopitia ndizo zilizomfanya awe gumzo na hata suala zima la kumfunika Jay Z kimapato kwa mwaka 2014 msingi wake umejengwa na mafanikio au nyota iliyoanza kuchomoza mapema.
Kwa sasa Swift ni mwanamuziki ambaye licha ya kujiingizia fedha nyingi kutokana na kazi ya muziki lakini pia ametwaa tuzo mbalimbali ikiwamo tuzo maarufu ya Grammy.
Ni kati ya wanamuziki wenye mauzo makubwa ya kazi zao duniani kote, akiwa ameuza nakala zaidi ya 40 milioni, kati ya hizo 27 milioni ameuza nchini Marekani.
Kwa wakati huu Swift anakimbiza na albamu yake aliyoipa jina la 1989 aliyoitoa Oktoba mwaka jana, ni albamu ambayo hadi Machi mwaka huu iliuza nakala 4.6 milioni Marekani pekee na kuzizidi albamu zilizotangulia za Speak Now ya mwaka 2010 na Red ya 2011
Mbali na kuutumia vyema utajiri wake kwa kusaidia watu wenye shida mbalimbali, Swift hakuwaacha hivi hivi wazazi wake, amewanunulia jumba la kifahari la vyumba vinne lililopo, Tennessee ingawa pia ana mjengo mwingine wa kifahari Rhode Island pamoja na mijengo mingine anayoimiliki iliyopo, Tribeca na Beverly Hills.
Katika mahusiano ya kimapenzi, Swift naye hajambo amewahi kuwa na mahusiano na mwanamuziki, Joe Jonas mwaka 2008, wakaachana akahamia kwa muigizaji, Taylor Lautner wakaachana 2009.
Badaa ya hapo akamgeukia mwanamuziki, John Mayer wakaachana akatua kwa muigizaji Jake Gyllenhaal na kuanzia mwaka 2012 hadi 2013 akawa na mwanamuziki, Harry Styles.
Tangu aachane na Stayle, Swift amekuwa peke yake akidai kwamba hataki tena mahusiano ya kimapenzi kwa kuwa anakerwa jinsi vyombo vya habari vinavyomfuatilia ingawa mwezi uliopita alionekana na mpenzi mpya, Calvin Harris, mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji muziki.

MIAKA 3 KIFO CHA KANUMBA: Wasanii wamepoteza ajira


 Aprili 7, 2012 pale nyota iliyong’ara katika tasnia ya filamu ilipozimika ghafla.
Steven Charles Kanumba alikuwa ni msanii, mwongozaji na mtayarishaji wa filamu aliyeifanya tasnia ya filamu nchini kuwa hai.
Kanumba, alikuwa ni zaidi ya mwigizaji kutokana na uwezo wake wa kutengeneza uhalisia wa kile alichokuwa akikifanya katika filamu.
Katika miaka yake ya mwanzo kaburini kila ilipofika Aprili 7 ya kila mwaka kulikuwa na tukio kubwa kwa ajili ya kumbukumbu yake.
Lakini mwaka huu hilo halikufanyika zaidi ya mama yake mzazi, Frola Mtegoa kwenda katika kaburi la msanii huyo akiwa na wasanii wachache wanaoliona pengo lake.
Wasanii hao na mama Kanumba waliambatana katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumkumbuka shujaa wao huyo aliyejijengea sifa kubwa Afrika Mashariki na kwingineko.
Uchunguzi uliofanywa na Mwandishi wetu, umebaini mambo yalitokea katika tasnia baada ya kifo cha Kanumba.
Moja ambalo lina athari kubwa ni kwa wale wasanii wote waliokuwa wakifanya kazi na marehemu kutengwa na watayarishaji.
Wengi wao hawashirikishwi katika filamu nyingine kulingana na kazi walizokuwa wakifanya kabla ya Kanumba kufariki dunia.
Ndani ya miaka mitatu wasanii hao waliokuwa wakimilikiwa na Kampuni ya Kanumba The Great Film hawana kazi kutokana kampuni hiyo kufa sababu kubwa ikiwa ni gharama za pango.
Kampuni imeshindwa kuzalisha filamu na aliyekuwa meneja wake Novatus Mayenja ‘Nova’ anakiri kuwa kifo cha bosi wake kimebadili kila kitu.
Nova amesema hali imekuwa mbaya, kwani hata wale watayarishaji waliokuwa wakiwahitaji hawawapi tena kazi na haelewi kuna uoga gani hadi imekuwa hivyo.

MKWARA: Jose Mourinho aonywa kuhusu kumchukua Falcao

Falcao 
UNAWAKUMBUKA Andriy Shevchenko na Fernando Torres? Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho ameombwa awakumbuke mastaa hao wawili, kabla hajafikiria mara mbili kumchukua mshambuliaji wa Monaco, Radamel Falcao.
Mwandishi maarufu wa michezo wa Gazeti laDaily Mail la Uingereza, Rik Sharma ana hofu kwamba Falcao ataishia kuchemsha Stamford Bridge kama ilivyo kwa Shevchenko na Torres.
Staa huyo juzi alishindwa kuibeba Colombia katika pambano la Copa Amerika dhidi ya Venezuela na kukubali kichapo cha bao 1-0 na Sharma anaamini kuwa licha ya Mourinho kujigamba kuwa atamrudisha Falcao halisi lakini kuna uwezekano akaishia kuchemsha.
“Chelsea inakaribia kumnunua mshambuliaji wa Colombia, Radamel Falcao, lakini kuna uwezekano mkubwa mshambuliaji huyu akafuata nyayo za Andriy Shevchenko na Fernando Torres. Washambuliaji hawa watatu waliwahi kuogopwa duniani wakiwa katika ubora wao, lakini kila mmoja wao aliumia goti na baada ya hapo hawajawahi kurudi tena katika ubora wao,” alisema Sharma.
“Chelsea ilimnunua Shevchenko kutoka AC Milan kwa Pauni 30 milioni mwaka 2006, baada ya kucheza Kombe la Dunia Ujerumani muda mchache tangu apone goti lake. Aliponunuliwa kwenda Stamford Bridge, alikuwa ameshapoteza makali yake,” alisema Sharma.
“Ni hivyo hivyo kwa Torres, lakini aliigharimu timu mara mbili zaidi na alicheza chini ya makocha na washambuliaji kadhaa kabla ya mkataba wake kukatishwa na kurudi Atletico akipitia AC Milan,” aliongeza Sharma.
“Na sasa inaonekana kuwa zamu ya Falcao kwenda Magharibi mwa London licha ya kufanikiwa kufunga mabao manne tu katika mechi 29 alizoichezea Manchester United msimu uliopita,” aliongeza mwandishi huyo.
Kauli ya Sharma inakuja siku chache tu baada ya Mourinho kudai kwamba ana uwezo wa kumrudisha Mcolombia huyo katika makali yake aliyokuwa nayo wakati akikipiga katika klabu za Porto na Atletico Madrid.
“Inaniumiza wakati watu England wanapoamini kuwa wamemwona Falcao halisi Manchester United. Ni mchezaji ninayemjua na nimemfuatilia tangu akiwa Atletico Madrid na kama nikiweza kumsaidia Falcao kurudi katika ubora wake nitafanya hivyo,” alisema Mourinho.
Mourinho anataka kumnunua mshambuliaji huyo kwa ajili ya kuziba pengo la mshambuliaji wake, Didier Drogba ambaye ametangaza kuondoka Stamford Bridge baada ya msimu ulioisha na Chelsea ikiwa bingwa.
“Tumempoteza mshambuliaji (Drogba) ambaye alifunga mabao manne katika Ligi Kuu, lakini mabao matatu kati ya hayo yalimaanisha pointi muhimu sana. Ni mshambuliaji ambaye alikuwa na uzoefu, ambaye kila dakika alikuwa bora kwetu, hata kwa dakika 10 za mwisho za kukaa na mpira, kupunguza munkari wa mechi,” alisema Mourinho.
“Kwa hiyo inabidi tununue mshambuliaji kwa sababu tunataka washambuliaji watatu wa kiwango kizuri,” aliongeza kocha huyo raia wa Ureno

exclusive; Kuvaa nusu uchi na kupiga picha za utupu.........

KINDUMBWENDUMBWE! Mbunge wa Mbeya Mjini kwa ‘leseni’ ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joseph Osmund Mbilinyi ‘Sugu’ amemfikisha kortini aliyekuwa mkewe,  Faiza Ally akitaka apewe mtoto wao, Shaa (2) ili amlee kwa vile mama yake huyo si mwadilifu.

Aliyekuwa mkewe na mbunge wa mbeya mjini Joseph Osmund Mbilinyi ‘Sugu’,  Faiza Ally akiwa katika pozi.

Ijumaa iliyopita, saa 2:00 asubuhi, Faiza alipanda kwenye kizimba cha Mahakama ya Mwanzo, Manzese/ Sinza iliyopo Sinza-Makaburini jijini Dar kwa ajili ya kukabiliana na madai hayo.

 Alieyekuwa mke wa mbunge wa mbeya mjini Joseph Mbilinyi "Sugu" akiingia mahakamani.

ZILIPO HASIRA ZA SUGU

Kwa mujibu wa chanzo chetu kilichomwaga ‘ubuyu’ huo, Mheshimiwa Sugu alifikia hatua hiyo baada ya kuchukizwa na tabia mbaya za mwanamke huyo hasa ya kuvaa nguo zinazomuacha nusu utupu na kupiga picha za aibu, akiamini kuwa, tabia hizo zinaweza kuathiri makuzi ya mtoto huyo.

Mnyetishaji huyo aliendelea kusema kuwa, kwa kipindi kirefu, Sugu amekuwa akimvumilia Faiza, lakini hivi karibuni uzalendo ulimshinda baada ya picha zake akiwa amevaa kigauni kifupi na makalio nje kusambaa mitandaoni.

PALIPOKOLEZEA HASIRA

Faiza alivaa kivazi hicho hivi karibuni kwenye hafla ya ugawaji wa Tuzo za Kili Music iliyofanyika Ukumbi wa Mlimani City, Dar.

 SUGU MBELE YA HAKIMU

Akizungumza mbele ya hakimu mfawidhi wa mahakama hiyo, Patrick Vaginga, Mheshimiwa Sugu alidai kuwa mbali na mzazi mwenzake huyo kuwa na tabia ya kuvaa nusu utupu pia ana mtindo wa kupiga picha zisizo na maadili na kuziweka mtandaoni yeye mwenyewe.

 Joseph Mbilinyi akionekana kwa mbali katika maeneo ya mahakama.

KUHUSU MTOTO

Sugu alikwenda mbele zaidi kwa kudai kwamba, pia mwanamke huyo amekuwa na tabia ya kumpiga picha mbaya mtoto wao na kuzimimina humohumo mitandaoni jambo ambalo alisema linamharibu mtoto huyo.

 FAIZA HANA PESA

Mbali na sababu hizo, pia Sugu aliongeza kuwa, Faiza hana kipato kizuri cha kuweza kumlea mtoto na mara kwa mara amekuwa akisafiri jambo ambalo husababisha mtoto huyo kutopata malezi ya mama kwa muda mrefu hivyo kuiomba mahakama impe haki yeye ya kuishi na mwanaye.

 FAIZA AJIBU MAPIGO

Naye Faiza akijibu mapigo katika utetezi wake alisema kuwa, Sugu hafai kumlea mtoto huyo kwa sababu naye ana tabia ya kusafiri kwa muda mrefu hivyo kuishi mbali na mtoto ambapo aliiomba mahakama hiyo isimruhusu baba mzazi huyo kuishi na mtoto kwa kuwa atamharibu.

KESI YAPIGWA KALENDA

Mheshimiwa Hakimu Vaginga akasema kwa vile kesi hiyo ndiyo imeanza kusikilizwa kwa mara ya kwanza aliiahirisha hadi baadaye mwezi huu ambapo hukumu itatolewa.

 SUGU NJIA YAKE, FAIZA NJIA YAKE

Ijumaa Wikienda lililokuwa mahakamani hapo, liliwashuhudia wazazi hao, kila mmoja akiondoka na njia yake.

KWA NINI FAIZA NI MKE WA SUGU?

Kwa sheria za Kitanzania, mwanamke na mwanaume wakiishi pamoja kwa zaidi ya miezi sita, hao tayari ni mke na mume kama ilivyokuwa kwa Faiza na Sugu ambao waliishi pamoja kwa zaidi ya miaka miwili.
GPL

Davido Achezea Akili za Watanzania.kwa Kuwatubeep Kwa Bendera..Ugomvi wa WEMA SEPETU na Diamond Platnumz ni Faida Kwake TUZO za MTV 2015

Ukitaka kujua kuna watu hawana kazi ya kufanya utaangalia tofauti ya comment za kwenye post ya Davido kwenye instagram. Kawaida huwa anapata comment 100 hadi 200. Lakini post hii ambayo aliyoweka picha ya bendera ya Tanzania imepata zaidi ya comment 2600 ndani ya masaa 4.

Ukiangalia comment zimejaa za wa Tanzania waki-comment ujinga kumpa support na wachache wakiongea vitu vya msingi. Hapa ni hivi, kuna kundi la watu wanaongoza kampeni za kumpigia kura Davido kwenye vipengele vya MTV Awards ambapo Davido yupo na Diamond...Kisa cha Watu kumpigia Kura Davido Kinatokana na Ugomvi wa Diamond na Wema Sepetu Ambao walikuwa ni Wapenzi zamani...Wema Sepetu na Team yake ndio vinara wa kuwashawishi watu wampigie kura Davido Badala ya Diamond..

Sasa inavyoonekana Davido alipata hizo taarifa na kutumia advantage kwa ku-post bendera ya Tanzania na kuweka alama ya love. Basi kawateka wote wasio na kazi wanaanza kupoteza muda wao. Wengine wanasema Davido ka-show love tu kwa Tanzania. Anaanzaje kutoa love bila sababu ya msingi.

Ishu za kitaifa tuache team zisizokuwa na msingi na tutumie bundle zetu vizuri kama sio kujifunza mambo ya msingi basi kuwa support ndugu zetu wanaotuwakilisha sio strangers. Hizi ni baadhi ya comments na nyingine ni nzuri ila nyingine utashangaa kama kweli hawa ni watanzania au wahamiaji tu.